Shirima ni mwizi wa hela za vifaa vya ujenzi. Akikwambia atanunua vifaa au ukanunue nae vifaa, ujue atakubaliana na mwenye duka bei ya vifaa iwe juu ili apata hela kutoka kwenye hela za kununua vifaa. Anawafanjia hivi wanawake tu! Tafadhali mnao jenga na Shirima muwe waangalifu. Maneno mengi ya kujifanya ni mcha mungu lakini anaiba hela za vifaa kwa kuongeza bei na wenye maduka.
Desired outcome: Wanawake msijenge na Shirima.
We have received your comment. Thank you!